PICHA: MADEE AKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YAKE YENYE THAMANI YA ZAIDI YA MILL 100,AJIPANGA KUACHIA WIMBO MPYA

Picha: Madee akamilisha ujenzi wa nyumba yake, ajipanga kuachia wimbo mpya 
Rapper wa Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.
Madee ameaonesha picha ya nyumba yake kwa ndani ikiwa imekamilika na kuandika, “FINALLY. ..karibuni ikulu...#MBEZI# @babutale”
Katika hatua nyingine, msanii huyo yuko katika maandalizi ya kuachia wimbo mwingine na amewataka mashabiki wake kutabiri atakuwa ameimba kuhusu nini 
Previous
Next Post »

Blogger templates