WOLPER AFURUMUSHA TUSI INSTAGRAM KISA UGONJWA WA DENGUE! KAFANANISHA UMAARUFU WAKE NA DIAMOND!

 

 
Ugonjwa wa Dengue unaanza kuwa Tishio miongoni mwa wakazi wa jii la Dar-es-salaam, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti kila kuona kuhusu ugonjwa huu Hatari. Katika pitapita za mwandishi wetu katika kurasa mbalimbali za Mastaa kuona wanazungumziaje ugonjwa huu na wanahamasishaje jamii namna ya kujikinga na kutafuta tiba pindi wanapo hisi dalili zozotre za kuumwa
Previous
Next Post »

Blogger templates