MTOTO wa msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ ametajwa kuwa ndiyo sababu kubwa ya kurejesha ndoa iliyovunjika ya msanii huyo na aliyekuwa mkewe iliyovunjika miezi michache iliyopita.
Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kipindi chote wakati ameachana na mkewe alikuwa akimkumbuka sana mwanaye ambaye alikuwa akiishi na mama yake, Halima.“Wakati nimetengana na mke wangu kitu kikubwa nilichokuwa nikikimisi kilikuwa ni uwepo wa mwanangu, nashukuru Mungu kwa sasa nimerudiana
Sign up here with your email