NIFANYAJE ILI NIREFUSHE UUME WA EX-WANGU, NATAKA TURUDIANE ILA TATIZO ANA UUME MDOGO!


Mimi naitwa Rose , binti ya miaka 23. Mapenzi yananiweka njia panda. Miezi 3 iliyopita nilibahatika kutoka kimapenzi na kijana mmoja kwa muda wa mwezi mmoja kabla hatujaachana sababu zisizovumilika tukawa maadui amabao hata sisi wenyewe hatukutarajia. Mwezi mmoja uliopita nilikutana tena na kijana huyu , akaniuliza kama nina mtu maishani nikamjibu ukweli kuwa sina ila sio kwa nia ya kurudiana naye. Katika siku za karibuni nikaanza kujihisi katika dimbwi la mapenzi na mvulana mwingine. Tatizo ni kwamba kijana wa kwanza alijaribu sana kuwa karibu na kunifurahisha ili turudiane tena. Hadi leo hii anaonesha inshara zote za mapenzi kwangu bila kificho chochote. Ukweli ni kwamba nampenda kiasi tu sio kama zamani. Na huyu kijana nliyekutana naye sasa nahisi na mpenda zaidi Ingawa haoneshi kunipenda kiasi cha Ex wangu. Niliyenae sasa alishawahi kuniambia ana girlfriend ambaye hawajawasiliana toka mwezi wa 1 mwaka huu. Siku dada wnagu wa shule alinitumia ujumbe kuniambia kuwa hakujua ninafahamiana na mchumba wake..ambaye ilitokea kuwa huyu ninaehisi nampenda zaidi kwa sasa. Baada ya kuelewa picha nzima kuwa huyu dada yangu ndo mchumba wa nimpendaye nikamwambia kuwa sisi ni marafiki tu. Ila toka siku hiyo sikuwa na raha, nikawa najiforce kumwona Ex wangu bora zaidi . Najihisi msaliti na vibaya.

Nimejaribu kutafta ushauri ; sijapata nafuu. Nahitaji kuachana na mmoja. Ukweli wote ni watanashati, wana akili, wananipenda na wapole. Muda mwingi nahisi kumrudia Ex wangu itarahisisha mambo kwa sote mm na dada yangu. Lakini kinachonitatiza ni urefu wa uume wa Ex wangu ni mdogo kulinganisha na wa huyu nimpendae.. sometimes natamani kama wa Ex wangu ungekuwa mrefu zaidi, nimejaribu kutafta dawa husika nimtibu hata kwa siri yangu bila mafanikio. Naogopa kumwambia Ex wangu hili manake nahisi ataumia kama mwanume . Sijajua kama hili ni tatizo la kisaikolojia , au lah lakin ntashukuru kwa ushauri ntakaopata aidha juu ya nimchague yupi au kwa tiba itakayorefusha uume
Previous
Next Post »

Blogger templates