Picha 6 za Mjengo wa Madee kwa ndani na ulipofikia sasa hivi.

Hit Maker wa Pombe Yangu na Tema Mate Tuwachape leo ametoa Exclusive picha kupitia kuhusu mjengo wake ambao ipo Mbezi ya Kimara  eneo la Kimara Mwisho ambalo kwa maelezo ya Madee mwenyewe amesema nyumba hii imechukua kama miaka 5 mpaka kuimaliza.
 Kwa sasa nyumba hii imemalizika na anaishi mlinzi tu na ni nyumba ya vyumba 4 Dinning na Sitting Room kuhusu Gharama kamili ya mjengo huu Madee amesema hana kumbukumbu kamili ingawa kwa haraka haraka amedai ni kama Milion 100 za Kitanzania.

Image00006
 Image00005
 Image00001
 Image00004
 Image00003
 Image00002

Previous
Next Post »

Blogger templates