Kwa kipindi kirefu sana kumekuwepo na imani kuwa wanawake wa Kichaga ndio hawajui mapenzi kabisa bali wanalala tu kama magogo kitandani huku wakiuliza maswali kama "SASA SHIRIMAAAA, HIVI LEO ZILE KARANGA ZANGU DUKANI ZIMEISHA KWELI BABA YANGUUUU?" bila hata kujali kuwa wapo ndani ya kung`atana. Hata hivyo, wanawake wa Ukanda wa Pwani wamekuwa wakipewa sifa tele kuwa wao ndio MANGULI wa KUGONGANA.
Kuna imani nyingine imeanza kujengwa taratibu kuwa wanawake wazawa wa Dar es salaam ndio hawawizi kabisa mapenzi kwa sasa. Wengine wanaamini ni afadhali hata ya Wachaga ambao wamepondwa sana kwa kipindi kirefu.
Kijana mmoja, Kinyozi wa muda mrefu sana wa Sinza, Dar es Salaam ajulikanaye kwa jina la Jimmy Kinyozi aliongelea hili jana akiwa katika mahojiano na Mzee Tamu tamu
Kinyozi huyo alidai kuwa yeye ni KICHECHE sana na ametembea na wanawake na mabinti wa Kibongo na wa nje ya Bongo wapatao 91 mpaka sasa, na ameona utofauti mkubwa sana.
Alisema wanawake wengi wa Kibongo ambao ametembea nao hawajui mapenzi kabisa, bali ni MASISTA DUU tuu. Mzee wa Tamu tamu alipomuuliza ni kwa nini hili linatokea alitoa hoja nyingi sana, na baadhi yake ni:
1: Wanawake wa kibongo huwa wanapoteza muda wao mwingi sana katika urembo na hivyo wanasahau kujifunza kufanya mapenzi. Kila wakati utawasikia wakisema wanaenda kutengeneza nywele, kufanya shopping kwenye duka la urembo mashuhuri, ama kwenda kutengeneza kucha. Lengo lao ni kupendeza kwa maana wanaamini kuwa wanaume wengi hupenda wanawake warembo. Mwisho wa siku wanaaibika kitandani!
2: Wanawake wa Kibongo pia wamekuwa wakimtegemea sana mwanaume katika suala la KUTIANA na hivyo nafasi yao na mchango wao kutokuonekana kabisa kitandani. Kwa nfano, mwanaume akishindwa kusimamisha(KUDINDISHA) kwa muda mrefu na hivyo kushindwa kumsugua kisawasawa, badala ya kufanya makeke ili ADINDISHE tena, anaanza lawama, eti "mwanaume mwenyewe hajui kitu, ananichafua tuu!!" Kwa wanamwake wa Kitanga hili ni tofauti kidogo kwani hutumia mbinu zote, hata kuziweka korodani za mwanaume wake kwenye kisosi ili kuahakikisha kuwa anasimamisha tena kwa haraka sana ili MISUGUANO iendelea.
3: Vyakula wanavyokula wanawake wengi wa Kibongo vinawafanya wazembe wazembe na hivyo kushindwa kutoa ushirikiano wa kutosha kitandani. Mara nyingi wanawake hawa hupenda kula vyakula kama CHIPS YAI na KUKU WA KISASA wakidhani ndivyo vyakula vizuri huku wakikataa ugali wa dona na vyakula vingine vya asili. Ninakumbuka hata Masanja Mkandamizaji aliwahi kuwachana kwenye wimbo wake "UNAKATAA UGALI".
4: Wanawake wa Kibongo wamekuwa wakiyafanya mapenzi ya kwenye tamthilia kuwa sehemu ya mapenzi yao, kitu ambacho hakiwezekani kabisa kwa wanaume wa Kibongo. wengi wao hupenda kuwaita wanaume majina ya kwenye tamthilia kama SWEET, HONEY, BABY, LOVE, CARPET, SWEETHEART, KING, UMBRELLA nk,wakidhani kuwa hayo ndiyo mapenzi. Wanaume wa Kibongo wanapenda wanawake wanaokata mauno na kuonesha ushirikiano wakati wa tendo na siyo maneno matupu.
5: Pia, wanawake wa kibongo wamekuwa hawafanyi mazoezi ya viungo vyao kabisa, huwa hata urefu wa mita mbili wanakodisha Bajaji au Bodaboda. Hili ni tatizo sana kwani huwafanya waishiwe pumzi mapema na kuwachafua wanaume kwa majasho yanayowatoka wakati wa KUCHAPANA.
6: Na mwisho kabisa, wanawake wa Kibongo pia hujifanya sana MUCH KNOW, yaani wajuaji wa kila kitu na wajanja kuliko mtu yeyote. Kutokana na hili, wanaume wengi wamekuwa wakifikiria kuwa ni wanawake wa ukweli sana na hivyo kutegemea makubwa kutoka kwao. Hata hivyo, wanaume wamekuwa hawajishughulishi kuwafundisha mapenzi kwa sababu wanaamini kuwa wanajua kila kitu, kumbe wapi!!! Mwisho wa siku huwa wakishindwa kudhihirisha ujuaji wao, wanaume huchukia sana na hivyo kuwashusha thamani.
Sign up here with your email