Uncategories Kidogo ikifikisha views milioni 5 tunaachia mzigo mwingine – Sallam
Kidogo ikifikisha views milioni 5 tunaachia mzigo mwingine – Sallam
Video ya wimbo wa Diamond aliowashirikisha P-Square ikifikisha views
milioni 5, ingine itatoka, kwa mujibu wa meneja, Sallam Sharaff.
Tayari video hiyo imefikisha views milioni 4. Kupitia Instagram, Sallam ameandika: