Yamesemwa mengi sana lakini kuna watu wengi mpaka leo hawafahamu ukweli wa suala hili hivyo wamebaki njia panda kama tabia hii inamadhara au haina.
Mazoezi ya viungo ni muhimu sana katika kuweka mwili fit na kuukinga mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali,lakini kila kitu ukizidisha huwa na matatizo yake hivyo hata kwa suala la ubebaji wa vyuma pia huleta matatizo ya upungufu wa Nguvu za kiume kama kutakuwa na mambo yafuatayo.
*Ukinyanyua vyuma vyenye uzito mkubwa zisizoendana na kilo zako
*Ukifanya mazoezi hayo kwa muda mrefu mfululizo mf. Kila siku mara mbili asubuhi na jioni.
*Usipokuwa unapata chakula cha kutosha baada ya mazoezi hayo magumu.
NB: Yapo matatizo mengine mengi yanayoweza kuletwa na tabia hii ya kubeba vyuma kama vile moyo kushindwa kufanya kazi sawasawa jambo ambalo ni hatari sana kwa afya ya binamu.
Sign up here with your email