Karrueche
Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown
alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo
za BET 2014 ambazo Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki
kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria.
Katika watu ambao Karrueche aliwahoji ni Diamond Platnumz ambae
alielezea ni jinsi gani amefurahi kuwepo kwenye kuwania tuzo ya BET
2014, alimtaja msanii ambae angependa kumuona kwenye stage ndani ya
usiku huu pamoja na mengine tazama kwenye hii video fupi hapa chini.CHEKI VIDEO
Sign up here with your email