Ijeoma Nnaj-Mshindi
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & Casino.Na mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car....
Sign up here with your email