Sahau Skelewu na Ngololo ya Diamond, hii ndio staili mpya inayo-make headlines hivi sasa.

601143_646418178714413_176765215_n



Kwa staili hii hapa hakuna cha Davido tena na skelewu yake, sababu huko West Africa Skelewu ishakuwa ni ya enzi za mwalimu, huko watu wana-Sekem tu. Hii ni staili nyingine mpya kabisa ya kucheza, inayoonekana kunoga sana hasa kwa wenzetu huko nchi za West Africa, na muda si mrefu itaingia bongo na kufanya wa tzee waanze kusahau ngololo ya Diamond Platnumz, Ni nyimbo yaMcGalaxy-”Sekem”, nyimbo yenye vionjo vipya kabisa vilivyongezewa na staili yake ya kipekee ya uchezaji, inayozidi kuteka maelfu ya wadau wa muziki. Icheki hii hapa kama upo fit, anza kui-copy.
Previous
Next Post »

Blogger templates