Diamond akiwa na mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra'. STAA
wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz', kesho ataachia video
zake mbili ikiwa ni zawadi kwa mama yake mzazi, Sanura Kasim 'Sandra'
aliyezaliwa Julai 7. Kupitia akaunti yake ya Facebook, Diamond aliandika
hivi:
Sign up here with your email