Kulala Bila Nguo Na Mwenzi Wako Ni Chanzo Cha Uhusiano Wenye Furaha Zaidi

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Cotton USA wapenzi wengi waliodai
kulala utupu wamedai kuwa hiyo nisababu moja wapo ya uhusiano wenye furaha. Asilimia 57 ya wale wanaolala bila nguo walidai kuwa na furaha kwenyemahusiano yao, ukilinganisha na asilimia 48 wanaolala na nguo za ndani, asilimia 43 wanaolala na nguo za kulalia.
Previous
Next Post »

Blogger templates