Polisi nchini India wamesema kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 26 mtaalamu
wa Komputa, amepatikana akiwa amenyongwa nyumbani kwao. Wazazi wa mwanamke huyo ambao wanazuiliwa na polisi wamekirikumuuza binti yao kwa sababu aliolewa kinyume na matakwa yao. Mwanamke huyo aliolewa na mfanyakazi ,mwenzake kutoka jamii tofauti siku chache zilizopita. Maafisa wanasema kuwa mauaji kama haya sio kawaida kutokea maeneo ya Kusini mwa India

Sign up here with your email