Zamani wanaume walikuwa wanaoa wanawake zaidi ya watatu lakini siku hizi wanawake wamekomaa na mtindo wa Mume Mmoja na Mwanamke mmoja bila kuteleza kuwa hao wengine wanaobaki wataolewa na nani? Kwani sote tunajua kulingana na sensa ya idadi ya watu duniani wanawake ni wengi zaidi ya wananume. Hivyo kwa mtindo huu wa moja kwa moja wanawake wengi sana watabaki bila kuolewa.
Hata katika siku za wazee wetu pamooja na kuoa wanawake zaidi ya 3 lakini wengi sanan walibaki bila kuolewa na kuishia kuzaa wakiwa nyumbani kwa wazazi wao. Kwa mtizamo huu sasa ni bora tukarudia zile tamaduni zetu za zamani ambazo zilikuwa zinapunguza wivu katika ya wanandoa na kujenga upendo katika familia.imefanya utafiti na kugundua kuwa wanawake wengi wanaingiwa na wivu na tamaa kwa sababu ya kuwa na mfumo huu wa mmoja kwa mmoja.
Tukio baya la kutisha lilitokea juzi katika jimbo la Delta state lililomuhusisha mwananmke mmoja kumuogesha mwenzake kwa tindikali kwa madai ya kuwa alikuwa akitembea na bwana ake limezua utata sana juu ya ndoa zetu hizi za mmoja kwa mmoja. Dada huyo asiye na huruma alienda dukani na kuinunua tindikali hiyo bila hata chembe ya uwoga na kurudi nyumbani alipomkuta mumewe akiwa kitandani na mwanamke mwingie hali iliyopelekea yeye kuuchukua uamuzi huu wa kihayawani na kumdhuru sana sehemu nyingi za mwili wake.
Mke huyo asiye kuwa na chembe ya ubinadamu anaitwa Stella na anadai kuwa alimuonya mwenzake kuachana na mumewe la sivyo angekiona cha moto.
Msemaji wa hali polisi amri, DSP Celestina Kalu ambaye alithibitisha tukio hilo, alithibitisha kuwa Stella amekamatwa na watu wa Idara ya Upelelezi wakati na mume wa mwanamke wakiwa wanauguzana Hospitali.
inampa pole mke mwenza kwa kumwagiwa tindikali.
Sign up here with your email