Rihanna akifanya yake ndani ya Rio De Jenairo, Brazil

ameonekana aki party Rio de Janeiro wakati wa fainali za kombe la dunia, na Rihanna amehakikisha kuwa yuko wild baada ya kuonekana beach na marafiki Brazil.

Rihanna (26) ameonyesha sehem kubwa ya mwili wake akiwa na bikini na crop top ya leopard print 








Previous
Next Post »

Blogger templates