SHUHUDIA X RAY IONESHAYO MFUPA WA NEYMAR ULIVYOVUNJIKA

PICHA YA X RAY INAYOONYESHA (KWENYE MSHALE MWEKUNDU) MFUPA MDOGO WA UTI WA MGONGO WA MSHAMBULIAJI NYOTA WA BRAZIL, NEYMAR ULIVYOVUNJIKA.
NEYMAR AMEONDOLEWA KWENYE KIKOSI CHA KOMBE LA DUNIA BAADA YA BEKI WA COLOMBIA KUMNGONGA NA GOTI WAKATI WA MECHI YA ROBO FAINALI AMBAYO WAGENI WALILALA KWA MABAO 2-1 NA BRAZIL KUSONGA NUSU FAINALI.
TAYARI NEYMAR YUKO JIJINI SAO PAULO AKIPATA MATIBABU.

Previous
Next Post »

Blogger templates