"KWA RUSHWA YA NGONO DADA MENINAH NAMPA BIGUP"



Staa wa Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’

Kama kawaida, wiki iliyopita tulimleta kwenu staa wa
 Bongo Fleva, Meninah Abdukareem ‘Ladiva’ ambapo 
mlituma maswali yenu na leo haya ndiyo majibu yake,
 UNGANA NAYE...


RUSHWA YA NGONO BSS
Meninah kwanza nakupa big up kwa utulivu ulionao 

mpaka sasa, je, kwenye mchujo wa kupata mshindi wa
 BSS (Bongo Star Search), eti kuna rushwa ya ngono na
 fedha? John Ipembe, Shinyanga, 0713554815
MENINAH: Asante, BSS hakuna kitu kama hicho.
ANAOMBA NAFASI
Meninah nimekufuatilia muda mrefu, nimeona ni msichana

 mtulivu, naomba nafasi niwe mtu wako. Muddy Madiley, 
0652672805
MENINAH: Bado muda sijaamua kuwa kwenye uhusiano ila

 nashukuru kwa kunifuatilia.
MPANGO WA KUOLEWA
Pongezi nyingi kwako dada Meninah kwa kufanya vizuri katika

 gemu ila napenda kujua una mpango wa kuolewa? Amiri Salumu,
 Dar, 0653252416
MENINAH: Asante kwa pongezi, mpango wa kuolewa kwa sasa 

bado kama nitakuwa nao nitawaambia.


Meninah akihojiwa na mtangazaji wa global TV Online, Pamela

 Daffa.

HUYU ANATAKA KUJUA
Eti Meninah wewe ni mwenyeji wa mkoa gani na mbali na muziki 

unajishughulisha na nini? Salim Liundi, Dar, 0659601205
MENINAH: Mimi ni mwenyeji wa Dar, tofauti na muziki nafanya

 shughuli za kibiashara, nafanya kazi kwenye media house (chumba
 cha habari) moja hivi pia ninasoma.
MAFANIKIO
Eti dada umepata mafanikio gani kwenye muziki? Mama Daud, 0716692880
MENINAH: Nimepata fursa nyingi na kuonana na watu muhimu, nimevuka

 boda pia nimenunua gari kwa kupitia fedha nilizopata kwenye muziki.
HUYU ANAHOJI
Meninah ni kweli mama yako ni Mhaya na anaitwa Eva na kama ndivyo 

hilo jina la Abdukareem limetoka wapi? Noel Mushi, Moshi, 0714300280
MENINAH: Mama yangu siyo Mhaya ni Mhehe, jina la Abdukareem ni la 

baba yangu.


 
Pamela akizidi kufunguka ndani ya ofisi za Global Publishers. 

ANAOMBA NAMBA YA SIMU
Dada naomba namba yako ya simu tuwe tunawasiliana, nimekupenda

 sana. Sayuma Yusuf, 0657052463
MENINAH: Hapana, kutoa namba ni vigumu naomba uwasiliane nami

 kupitia Mtandao wa Instagram natumia jina hili Meninaladiva.
ETI ANACHEPUKA NA MSHINDI WA BSS 2013?
Dada kuna taarifa zilienea mtaani kuwa wewe una uhusiano wa mchepuko

 na mshindi wa BSS 2013, je, ni kweli? Said, Dar, 0718000790
MENINAH: Hakuna kitu kama hicho.

AMEHAMIA SKYLIGHT BAND?
Nakukubali sana dada Meninah, hivi umehamia Skylight Band? Rabia

 Mohamed, Dar, 0659985793
MENINAH: Hapana sipo ila kuna rafiki yangu ambaye tunafanana sana

 anaitwa Digna ndiye yupo Skylight na watu wengi wanatuchanganya.


 

Pamela akitokelezea kwenye picha na mmoja wa wahariri wa
 Gobal Publishers, Bw. Siphael Paul.

ANAMFAHAMU
Nakufahamu Meninah umezaliwa Manzese Uzuri (Dar), mama yako 

anaitwa Amina Mkwawa, baba yako Abdul Atik. Msomaji, 0715059450
MENINAH: Siyo kweli.
ANAMHOJI
Napenda sana kazi zako, je, una mchumba na vipi kuhusu ndoa? Msomaji, 0716784168
MENINAH: Sina mchumba na bado sijaamua kuolewa. 

HATARI SANA HII..FUMANIZI LAZUA MAMBO KWA WATWASI..TWENZETU UJIONEE!

YEYE NA OMMY DIMPOZ
Meninah eti ni kweli unatoka kimapenzi na Ommy Dimpoz? Francisca, Tanga, 0652332243
MENINAH: Hapana.
ETI ANA MASHAUZI
Hooo! Dada nakujua tulikuwa wote kwenye BSS 2013 ulikuwa na

 mashauzi hata hutaki kuongea na watu pwaaa. Jenipher Charles,
 Dar, 0755075255
MENINAH: Sikufahamu na sijawahi kushiriki na mtu mwenye jina hili, sina mashauzi. 

AMEFAIDI NINI BSS?
Vipi Meninah umefaidika nini ulivyoshiriki BSS na ulifika steji ipi na una

 mpango gani na maisha ya baadaye? Erasto, Moshi, 0752387512
MENINA: BSS imenisaidia kujulikana na vyombo vya habari, kama siyo 

ningepata ugumu sana wa kazi zangu kujulikana, kuhusu mpango wa maisha
 yangu ni kuwa na familia yangu niwe na kwangu kwani sasa hivi nipo 
nyumbani kwetu. 

UMEPITIA MAGAZETI YOTE YA LEO SABASABA?! TWENZETU...

HUYU ANAMFAHAMU
Meninah ulikuwa unakaa Kurasini karibu na Uhamiaji, ulikuwa

 unatoka na madereva teksi kabla hujawa maarufu. Msomaji, 
0713388514
MENINAH: Ni kweli tumeishi huko Kurasini lakini kuhusu kutoka 

na madereva teksi siyo kweli kwani mama yangu alikuwa na gari
 hivyo wakati akiwa hayupo tulikuwa tukiendeshwa na dereva teksi
 mmoja hivi ambaye mama alikuwa akimuomba atupeleke mjini. 

USHAURI
Dada ninakushauri kwamba wewe ni binti mzuri sana jiepushe na 

skendo kama hawa wasanii wengine leo wana hili kesho lile, jiheshimu
 kama mtoto wa kike nawe utaheshimika, uzuri wako uendane na tabia 
yako. 
Rejina Musa, Arusha, 0767909535
MENINAH: Asante kwa ushauri. nitaufanyia kaz
Previous
Next Post »

Blogger templates