Mambo Yanayokera Wafanyayo Wanaume Wakiwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi

Kutokubali majukumu , mwanaume umeamua kuwa na mpenzi kuwa 
responsible na take care of your famili kama ukibahatika 
kupata mtoto. kwa wadada ukiona mwanaume hayupo 
responsible ukiwa nae jua hadi kitandani ni mvivu wa kutupa
 ndio wa kwanza kulalama mmh ujui kukata kiuno. 



Kukiss ujui akilalamika hivyo kaa kimya uone kama 
anaweza kazi..... utasikia wanawake wanachuna tutaachaje 
kuchuna wakati kutoa kwa hiyari amtaki mjifunze.

Kujinunisha hovyo hovyo hivi mwanaume unasusa ili iweje ... 
he he susa wenzio wala.


Kuwa mchoyo.. unakuta mwanaume ni mchoyo kiasi kwamba 
hata kuhudumiana ni tatizo...
mwanume pesa yako vitu vyako ni tatizo sasa maana ya mimi
 kuwa mpenzio au mwili mmoja ni ipi kama unaniwekea demacation
 kwenye vitu vyako... yani hawa hadi kutoa mawazo ni kazi anaona utafaidi...

Mwanume mbahili yani hadi anaumwa au unaumwa kutoa hela ya
 kutosheleza matibabu hato ... yani sasa huyu wimbo wake wa kila
 siku utasikia sina hela.. hivi kutokuwa na hela ni sifa au ni uvivu basi
 tuone unafanya jambo la maana upuuzi mtupu

Mwanume kuendekeza pombe na marafiki yani unatoa kipao mbele rafiki
 zako kuliko mpenzio ukiona hivyo ujue huna future nzuri.... baadhi ya
 maandiko yanasema "ajifanyie rafiki wengi ni kwa uangamivu wake
 mwenyewe though rafiki anweza kuwa kama ndugu" tafakari.

Wivu uliopitiliza hapa wengi ni 25 na 30 sana hawa ndio tatizo utasikia
 baby tuma picha ... tuma picha unatuma bado tena tuma picha ... 
hivi niwaulize mnatengenezea movie hizo picha ni nini tatizo?...

-JF
Previous
Next Post »

Blogger templates