UKIONA MWANAMKE AMEKUWA HIVI UJUE TAYARIII!!! ZIFAHAMU DALILI KUU 2 ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI.. BOFYA HAPA


UTANGULIZI:
  Karibu katika ladha na utamu wa mapenzi naamini katika ukurasa huu utaweza kufaham dalili kuu 2 zinazoashiria mwanamke kukaribia kufika kileleni pindi awapo katika tendo na mwenzi wake. - Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila 
 

kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha.
ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI: 1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi napozungumzia dalili hii sina maana
 

kwamba ya kupiga kelele za fujo ila kelele zinazopigwa ni zile za raha zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na kuikuza sauti. Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno pindi raha zinapozidi..
Itaendeleaa....
Previous
Next Post »

Blogger templates