KIBAKA AOKOLEWA NA POLISI BAADA YA KUIBA PIKIPIKI

Kijana aliyenusurika kufa akiwa na Kamishna Suleiman Kova mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani).
…Akiwa amesimama kwa ‘unyenyekevu’.
…Akitubu mbele ya waandishi wa habari ( hawapo pichani) kuacha wizi.
KIJANA ambaye jina lake halikufahamika  amejikuta akinusurika kufa baada ya wananchi wenye hasira kuizingira nyumba aliyokuwa amejificha baada ya kuiba pikipiki jijini Dar es Salaam.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari kijana huyo alisema anaishukuru polisi kwa kumnusuru na kifo na kuahidi kwamba “kuanzia leo nimeacha wizi.”
-GPL
Previous
Next Post »

Blogger templates