mapenzi
Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio mkubwa hatupati waume wa kutuoa ?
Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio mkubwa hatupati waume wa kutuoa ?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi: (a)Miili yetu imepitwa na wakati, (b)Labda wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa? (a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba, (b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?