MADA MAUGO AMDUNDA THOMAS MASHALI

BONDIA Mada Maugo amemshushia kichapo bondia Thomas Mashali katika mpambano wao kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikabiliana na Mada Maugo kwenye Tamasha la Matumaini 2014.
Mabondia hao wakikumbatiana wakati wa pambaono lao lililomalizika kwa Mada Maugo kuibuka kidedea.
Previous
Next Post »

Blogger templates