MAKAMU WA RAIS DK. GHARIB BILAL NDANI YA TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akitoa hotuba fupi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014, Eric Shigongo naye akitoa neno la matumaini kwa maelfu ya Watanzania waliofurika Uwanja wa Taifa, Dar.
Mgeni rasmi Dk. Gharib Bilal akisalimiana na Mbunge wa Simba, William Ngeleja.
Dk. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na wabunge wa Simba.
Previous
Next Post »

Blogger templates