Uwezi Amani Ngoma za Vigodoro Bado Zinaendelea Uswahilini Japo Serekali Ilipiga Marufuku-SeePhotos

 Japo Serekali Ilikataza Ngoma za Vigodoro Hapa Jijini Dar Inaonekana Bado agizo hilo alijachukuliwa ipasavyo baada ya Ngoma hizo kuendelea kuchezwa huko uswahili vibanda inama kama unavyoona kwenye picha, 
Dada huyu ambaye jina lake halikufahamika mara moja akikata mauno huku akionesha nguo yake ya ndani mbele ya kadamnasi bila hata chembe ya haya
Previous
Next Post »

Blogger templates