YAFAHAMU MAENEO 20 KATIKA MWILI WA MWANAMKE AMBAYO YAMEJAA HAMU YA KUPATA RAHA NA UTAMU (20 HORNY ZONES ON WOMEN'S BODY) PART 1

Kuna mtu amenitumia email jana usiku kupitia email yangu ya romanticxoxo@gmail.com,alikuwa anataka kujua sehemu zipi katika mwili wa mwanamke zina msisimko(excitement),na anaweza kuzitumia vipi wakati wa kupeana Raha na Utamu ili aweze kumridhisha na kumfikisha kileleni(orgasm) mke wake.
Na mie kama kawaida yangu,nikipata swali kwenye email au kwenye inbox ya page yangu facebook(udakubiz),lazima nitatengeneza Topic niweze kupost kwenye blog ili kila m2 aweze kujifunza kitu kwa kuwa Mapenzi ni kama Bahari,Elimu yake haina mwisho.

Kuna bloggers ni vilaza,mambulula,hawana ubunifu wanacopy hizi topics na kwenda kuweka kwenye blogs zao waonekane wao ndio wameandika na wakati wamecopy kutoka udakubiz.Mi nikiona ntakuumbua tu fans wako wakuone ulivyo mvivu wa kufikiri,mvivu wa mawazo,kilaza wa mwisho kabisa.
Kama kuna post umeipenda na unataka kushare kwenye blog yako,basi usisahau kusema mwisho wa post kuwa umeitoa udakubiz.
Kama unataka kushare facebook,twitter etc it is ok,unaweza share kuwa free

So,hayo maeneo(horny zones) yanaanza kama ifuatavyo,
                                           
                                                                                          1.UBONGO (HER BRAIN)

Kuna wataalamu wa saikolojia(psychology),wanasema kwamba "kama ubongo wa mwanamke haujapata Hamu ya kupata Raha na Utamu,basi tendo zima la kupeana Raha na Utamu litakuwa BORING kwake hata kama asipokuambia"
Ubongo wa mwanamke ni kiungo muhimu sana wakati wa kupeana Raha na Utamu na ndio maana nikaweka kiwe kitu cha kwanza kuzungumziwa. Kama ukiweza kuingia ndani ya ubongo wake,ukapandikiza Hisia na Hamu za kupata Raha na Utamu,basi itakuwa Rahisi kwako kumridhisha.

JINSI YA KUMTIA HAMU YA KUPATA RAHA NA UTAMU KWENYE UBONGO WAKE (HOW TO AROUSE HER BRAIN FOR SEX)
Kama hujawahi kuongea nae kuhusu mambo ya kupeana Raha na Utamu au ana aibu sana,kwanza tengeneza mazingira ya kumfanya awe comfortable kuongea mambo ya tendo la ndoa na wewe.Siri kubwa ya kumtia hamu kwenye ubongo wake ipo kwenye Maneno zaidi kuliko vitendo.
Kila siku hakikisha unamsifia(sifa zako ziwe zimebase kwenye sex zaidi),mwambie ni kiasi gani unapata hamu ya kupata Raha na Utamu ukiangalia  maumbile yake(hips,makalio,matiti etc),kama yupo mbali kidogo na wewe(either kazini,chuo au popote) unaweza ukamtumia meseji za kimahaba zinazohusu kupeana Raha na Utamu,mnaweza mkasex chat,mkaflirt etc

     2.NGOZI YA KICHWA NA NYWELE ZAKE (HER SCALP)
Ngozi ya kichwa imejaa nerve endings ambazo zikipata massage au zikishikwashikwa,kuna kitu kinatoka kinaitwa oxytocin,hiki kitu ni hormone ya stress,kama ikitoka mtu anajisikia Raha ya Utulivu na kama hiyo massage ya kichwa au kama ameshikwashikwa kwenye ngozi ya kichwa na mtu wa jinsia tofauti na yeye,lazima atapata Hisia na Hamu ya kupata Raha na Utamu.(Na ndio maana wanawake wengi siku hizi wanapenda kutengenezwa nywele na wanaume huko saluni)

Mnapokuwa mnapashana joto(foreplay),pitisha vidole vyako katikati ya nywele zake,tomasa(caress) ngozi ya kichwa chake huku ukimnyonya denda(kama kwenye picha hapo juu),au ukiwa unamtomasa mgongo.

                    3.MASIKIO YAKE(HER EARS)

Masikio yapo sensitive pia,itategemea wewe ni mtundu(naughty) kiasi gani na mpenzi wako anapendelea nini,unaweza ukayatumia masikio ya mwanamke wakati wa kupeana Raha na Utamu.

Wakati wa kupeana Raha na Utamu(especially kwenye foreplay),peleka mdomo wako kwenye masikio yake,tumia sauti ya kimahaba sana(kama unamnong'oneza siri fulani),mwambie jinsi hips na makalio yake vinavyokutamanisha(kama hana basi chagua kitu chochote kizuri kwenye mwili wake may b macho,lips etc, tena ukitaka azidi kudata chagua vitu ambavyo yeye mwenyewe anavikubali,anavipenda na anajivunia kuwa navyo),mwambie hujawahi kukutana na mwanamke aliyeumbika tena sana kama yeye etc.

Mkiwa mpo katikati ya tendo,mashine ya mwanaume ipo ndani ya uke wake mnapeana Raha na Utamu,kama style mnayotumia inaruhusu,peleka mdomo wako kwenye masikio yake,mwambie kuwa uke wake upo tight sana(hehehe,kila mwanamke anapenda kuambiwa hivyo),tena una joto la ukweli mpaka Raha yaani.Kama anakata na kuzungusha kiuno mwambie jinsi kiuno chake kinavyokupagawisha(drives u crazy).
Au unaweza ukafanya kama anavyofanya huyo kaka hapo juu kwenye picha.


               4.PUA YAKE(HER NOSE)         

Wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wanaonukia vizuri,haijalishi kama huyo mwanaume ametumia manukato ya bei gani,lakini kama harufu yake ni ya kuvutia still watatamani kuwa karibu nae muda wote.
Na katika Kupeana Raha na Utamu ni hivyo hivyo,make sure mwili wako hauna harufu mbaya,either ya kikwapa,mdomo au huko chini kwenye mashine na korodani(testicles).Oga vizuri,jisugue vya kutosha especially sehemu zinazoficha majasho na uchafu katika mwili wako,piga mswaki kila baada ya mlo au angalau asubuhi na usiku kabla hujalala.Pia tumia manukato/marashi(perfumes/bodysprays).

Na itakuwa vizuri ukitumia marashi/manukato ambayo hata ukivua nguo zikawa pembeni,harufu ibakie kwenye mwili wako(bodysprays ndio zinaweza kudo that au perfume kali)
Ila make sure manukato/marashi unayotumia ni yale ambayo anayapenda,awe angalau ameshawahi kuyasifia japo zaidi ya mara moja.Ukiona vipi mkienda shopping,mwambie akuchagulie perfume/bodyspray anayopenda ili utumie.

           5.MIDOMO YAKE (HER LIPS)


Kila mtu anajua Raha ya kunyonyana Denda,Raha ya kukiss lips za yule umpendae.
Wakati wa kunyonyana denda,ile hormone ya stress inatoka kitu kinachowapa Raha na Utamu wale wanaokiss kwa lips.Unaweza ukazitumia Lips za Mwanamke wakati wa kupeana Raha na Utamu.
Kama hujui kabisa au hujui kidogo jinsi ya kumnyonya denda(french kissing her lips) kimahaba,basi unaweza ukafollow steps zifuatazo,

  • Make sure yupo comfortable kukutanisha lips zake na zako
  • Make sure mdomo wako hauna harufu mbaya
  • Peleka mkono wako shingoni mwake au shavuni(hii itamjulisha kuwa unataka mkiss)
  • Nyamaza,yatazame macho yake kisha tazama lips zake huku taratibu ukipeleka lips zako zikutane na zake.
  • Mtamanishe kwanza kwa kuzikiss mara mbili kabla hujaanza kumnyonya denda
  • Wakati wa kunyonya denda,usipeleke ulimi wako mwanzoni,inaboa
  • Usiupeleke ulimi kabisa kama hujui kuutumia
  • kiss lenu likichanganya(may b after 10 seconds) ndio upeleke ulimi mdomoni mwake
  • Usiwe rough na wala usitumie nguvu nyingi ukiwa umepeleka ulimi kwake
  • Tumia ulimi wako kulamba na kutekenya ulimi wake ndani kwa ndani(isionekane kwa nje)
  • Unaruhusiwa kuguna kimahaba kama kiss limekutouch mpaka moyoni
  • Fumba macho yako muda wote mkiwa mnakiss kwa ajili ya kupata Hisia(ukifumbua ujue we mchawi)
  • Acha kukiss,mtazame machoni,tabasamu au cheka kimahaba kisha endelea kumkiss mpaka mwisho
Kuna bloggers ni vilaza,mambulula,hawana ubunifu wanacopy hizi topics na kwenda kuweka kwenye blogs zao waonekane wao ndio wameandika na wakati wamecopy kutoka udakubiz.Mi nikiona ntakuumbua tu fans wako wakuone ulivyo mvivu wa kufikiri,mvivu wa mawazo,kilaza wa mwisho kabisa.
Kama kuna post umeipenda na unataka kushare kwenye blog yako,basi usisahau kusema mwisho wa post kuwa umeitoa udakubiz.
Kama unataka kushare facebook,twitter etc it is ok,unaweza share kuwa free
 
Nadhani mpaka hapo inatosha,Part 2 itakuja soon,
DID YOU LIKE WHAT YOU HAVE JUST READ? WOULD YOU LOVE TO GET MORE UPDATES FROM US? IF YES,THEN CLICK ‘LIKE’ BUTTON AT THE  RIGHT SIDE OF THE PAGE SO THAT YOU CAN LIKE OUR PAGE ON FACEBOOK AND SHARE THIS POST TO YOUR FRIENDS ON SOCIAL NETWORKS.
Previous
Next Post »

Blogger templates