Kuna vioja tumekuwa tukivisikia sehemu mbalimbali duniani, na bado vingine vinaendelea kuibuka siku baada ya siku.
Leo hii kuna stori mpya ambayo imenifanya niendelee kuweka kumbukumbu kichwani kuhusu matukio makubwa na ya ajabu yaliyowahi kujitokeza China.
Tumekuwa tukisikia kuhusu matukio ya wanaume mbalimbali wakifanya operation za kubadili maumbile ya jinsia zao, hii ya leo kutoka China inahusu wanaume ambao waliamua kujitolea kufanyiwa majaribio ya kufungwa vifaa ambavyo vitawafanya wapate maumivu ambayo huwa anayapata mama mjamzito wakati wa kujifungua.
Hizi ni baadhi ya picha za jamaa hao wakiwa katika zoezi hilo katika jimbo la Shandong, China.
unataka kujua zaidi? ingia hapa chini
Sign up here with your email