Super Star mtoto Blue Ivy Carter kwenye headlines tena, safari hii katinga kivazi kama Michael Jackson..Check Out

Blue Ivy Carter, mtoto wa wakali wawili kutoka Marekani, Jay Z na Beyonce ameendelea kuchukua headlines kwenye mitandao kila kunapokucha.
Safari hii amevalishwa ‘Halloween’, na kali zaidi ni kuwa kavalishwa nguo ambazo zimefanana na alizokuwa anapendelea kuvaa staa mwingine Michael Jackson.

Hii ni picha iliyozagaa mitandaoni inayomuonyesha Ivy ndani ya kivazi hicho akiwa na babaake.
Blue Invy
Previous
Next Post »

Blogger templates