Katika siku za mwanzo tu uhusiano wao, Martha alimpa utambulisho boyfriend wake Jacob: “Sweetheart, huyu ni rafiki yangu anaitwa Roy, ni mshkaji wangu wa karibu, mimi na yeye ni kama kaka na dada, siri yangu yake, yake yangu. Baadaye ukiniona naye usije kunionea wivu.”
Jacob aliitikia kisha maisha yakaendelea. Penzi likakua, Jacob alimvalisha Martha pete ya uchumba baada ya utambulisho kwa wazazi kufanyika na kukubalika. Taratibu za ndoa zikashika kasi lakini kuelekea kuoana, kuna jambo la kushangaza likajionesha.
Read more: http://habarizetuleo.blogspot.com/2013/12/kaka-amfumfundisha-dada-yake-kitchen.html#ixzz2nkP9XB68
Sign up here with your email