Angalia gari na nyumba mbili anazomiliki Masanja Mkandamizaji !!!! noma sana….

Masanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy.

Masanja-Mkandamizaji-vibe-co-tz
 Wakati anaanza maisha masanja alikua akikaa kwenye   ‘geto’ lake  maeneo ya Tabata Aroma huku akilipa kodi ya TSh. 5,000 kwa mwezi lakini hii leo masanja anamiliki nyumba mbil iza ukweli huku moja ikiwa ni ya ghorofa maeneo hayohayo ya Tabata  na pia anamiliki magari kama Toyota Land Cruiser V8 ma mengine.
Masanja-Mkandamizaji-Mali-zake-vibe-co-tz
vibe magazine
Previous
Next Post »

Blogger templates