Wiki chache tangu kutoka kwa taaarifa za uhusiano wa kimapenzi kati ya Ney wa Mutego na Irene Uwoya ingawa Ney alikataa,leo kuna zingine ambazo pia zinamhusu Irene Uwoya na msanii anaesemekana waliingia kwenye makubaliano ya kuwa mtu na meneja wake.
Hit maker wa Sound Track Msami kutoka THT amehusishwa na uhusiano wa kimapenzi na Irene Uwoya hapa amesikika mpenzi wake Msami na Msami mwenyewe baada ya kuulizwa na Soudy Brown juu ya uhusiano huo ulioanzishwa.
Sign up here with your email