Sasa nashangaa linanitumia msg za kuniomba hela na kuniambia ananipenda anataka kuwa wangu kimoja wakati linajua mi siyo bwanaake na uhusiano hapa ni wa nipe nikupe. Sijamtumia ananisumbua sana mpaka kero sasa. Sasa sijui nifanye nini kwa uzuri ni mzuri hasa hasa umbo na weupe wake ndio wanichanganya..ila ile fact ya kuwa nilimkuta katika mazingira ya kujiuza inaniumiza kichwa nahisi sinta kuwa na amani nikimkubalia...Nifanyaje wadau ? Nimtose
Sign up here with your email