Ile pati ilikuwa Bride Shower ya rafiki yangu (anamtaja jina) na wale wanawake waliokuwa wakicheza uchi walialikwa kwa lengo la kumfunda Bi. Harusi tu na si kucheza wakiwa uchi, kucheza kwao uchi waliamua wenyewe baada ya kupandisha midadi na sisi tulishindwa kuwazuia,” alisema Jacqueline.
Aliongeza kuwa, msichana aliyeandaa sherehe hiyo ni mtu mwenye maisha yake mazuri na anayejiheshimu kiasi kwamba asingeweza kuandaa shughuli hiyo haramu kisha kuwaalika marafiki zake anaowaheshimu.Gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta msichana aliyeandaa sherehe hiyo ya kifuska ili kuizungumzia lakini, simu yake ya mkononi ilikuwa ikiita kwa muda mrefu bila kupokelewa

Sign up here with your email