Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha?Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa
Sign up here with your email