Msanii huyu wa bongomovie amekua kimya kwa muda mrefu hasa kutokana na tabia yake ya kupenda sana kutumia mtandao wa facebook lakini hadi huko alikuwa kimya pia.
Leo kupitia page yake ya facebook amerudi na kutoa taarifa kwa mashabiki wake kwamba amejifungua mtoto wa kiume na shukrani zake anazipereka kwa mungu na mashabiki zake.
Msanii mwenyewe ni Odama ambaye mmoja ya wasanii wachache wa kike wenye kampuni zinazotengeneza movie zake mara nyingi.
Hongera zake na huyo baba wa mtoto.
Sign up here with your email