MGANGA WA JADI AFUMWA AKIMLA URODA MGONJWA, TAZAMA HAPA




0



Binti mmoja hapa jijini Mbeya akaenda mganga mmoja maarufu kwa utabiri na kumwomba ampe dawa ama kumfanya awe mtabiri

Baada ya kufika kwa mganga na kumwelezea kilichompeleka, mganga akamtoa wasiwasi na kumwambia dawa keshapata na mganga akainuka kwenda kuifuata.

Mara mganga kaja na kondomu na kuanza kuivalisha kwenye uume wake.


Yule binti kadakia heeeeee wewe mganga wataka kunifanya nini asubuhi yote hii?

Mganga akamjimbu hongera sana naona ushakuwa mtabiri.


Imeandikwa na Mdau
Previous
Next Post »

Blogger templates