BAADA YA KURUKA NA WASICHANA WA BONGO, HATIMAYE HEMEDI ATOA TAREHE YA KUFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE ALIYE MTANGAZA.!

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcQLlbdc7B9x2DAychrSjQw7-52x4fjeAFgcfwy9S8apHTcr-lpWyTu2BLQIX8gMw3ZpyUaF3676o5wexpotR8Z7OVORU_FpoXmFw4hPA8OQ_JO6W0sZc_dSMv-Sb534R3QQd70T4OZa4/s1600/1390754_662643333780644_363176798_n.jpg 
Hemedy PHD , sukari wa warembo au unaweza kumuita  handsome boy  sasa yuko tayari kuwa baba baada ya ya kuongea na vibe akisema amechoka na usumbufu wa warembo na sasa yuko tayari kuwa na mtu mmoja tu kwani haoni jipya bali usumbufu na ufujaji wa pesa.  Hemedy anafunga ndoa next year on february  kama kila kitu kitaenda sawa kama ilivyopangwa.Mrembo anayemuoa anaitwa Momo , mrembo huyo mwenye muonekano wa super model yupo tayari kuishi na Drama King wa Bongo.

Pia anarudi tena na nngoma   inayokuja kwa jina la Weding day ambayo iko mbioni kuifanyia video yake na kwa sasa yuk Arusha akifanya maandalizi ya location ya video hiyo.Let pray kwa Hemed afanye kweli kwani aiku hivi maisha mafupi sana all the best brother 
Previous
Next Post »

Blogger templates