skendo
DINI PEMBENI, YEYE NA PICHA ZA UCHI TU SAIVI....DUUU HADI HURUMA JAMANI
DINI PEMBENI, YEYE NA PICHA ZA UCHI TU SAIVI....DUUU HADI HURUMA JAMANI
Kweli shetani ananguvu sana, huyu msichana alikuwa mwimbaji wa nyimbo za dini kama akina Rose mhando, Upendo Nkone na wengine wengi. Chakushangaza shetani alivyo na nguvu za ajabu amembadili huyu dada kabisa na kuwa mfuasi wake, saivi yeye ni pombe na picha za uchi mitandaoni.