Diva |
Mwanadada Diva the Don, mtangazaji wa CLOUDS FM ameibuka na kushangazwa na kitendo cha mwanafunzi huyo kufukuzwa chuo....Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, DIVA aliweka video clip ya mwanafunzi huyo nakuandika kwani mtu akiwa malaya anajiuza kuna sheria ya kumfukuza chuo!
Sign up here with your email