Ikiwa LEO ndio siku ya waili hawa, Kanye (36) na Kim (33) kufungandoa huko mjini PARIS...Hii ni Report maalumu kuhusiana na maadalizi na kile kinachoendelea hivi sasa katika miji ya PARIS, Ufaransa na Florence, Italy...Kumbuka hii ni ndoa ya Mastaa wakubwa mno hapa DUNIA.....Kunamengi utayajua hapa...STAY CONNECTED!!
DONDOO ZA AWALI: Ndoa itafungwa kesho mjini PARIS, UFARANSA ila PATI litafanyika mjini Florence huko ITALY. Inasemekana ni zaidi ya watu 3000 wamealikwa...Jay Z ndio inasemekana atakuwa ndio BEST MAN...na atahudhulia akiwa na mkewe Beyonce.
JUZI NA JANA
Juz
![]() |
Ou la la: Kim celebrated her bachelorette party at the Eiffel tower in Paris with a group of friendS |
Jana
Polisi nchini Italy wamelazimika kuongeza ulizi zaidi kwakufunga mitambo zaidi kwenye jumba ambapo PATI hili la kimataifa litafanyika.....
Jumba ambalo PATI itafanyika...lilijengwa Karne ya 16 (HATARI SANA) hvyo imewabidi watu wamaandalizi kufanya marekibisho flaniflani.....
![]() |
Huu ndio mjengo wenyewe |
![]() |
Jamaa wakiendelea kuweka mambo swa |
![]() |
wow..kwajuu hiyo |
![]() |
kwa karibu zaidi |
![]() |
Geti hilo mzee......utazamia vip...ila tusishangae....isijekatokea kama kwa p square ...mtu akaibuka |
Leo
Kim Kardashian amepost picha INSTAGRAM HII... Bila shaka itakuwa Sehemu watakapofungia ndoa...
Sign up here with your email