HUYU MSANII WADODOMA NAYE ANATABIA HII!!!!. MASIKINI WASANII WABONGO HATARI KWA MAHABA


Msanii wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Jaco Beats A.K.A Kilaza na pia ni Msanii wa kwanza ktk Mkoa wa Dodoma 
anayefanya  vizuri kwa wimbo wake mpya wa ''WALIONUNA'' ambaye Video ya wimbo huo ukiwa unakaribia kutoka hivi karibuni.Pia msanii Super nyota aliyewakilisha mkoa wa Dodoma katika tamasha la fiesta 2013 kwa wimbo wake wa ''KILIAZA'' Ambapo kwa sasa anafanya poa sana kwenye Game:
Masanii huyu siku ya leo amepost Picha kwenye Ukurasa wake wa Facebook akiwa na Msichana ambaye inasadikika na Mpenzi wake.... Baadhi ya watu wake wa karibu walifunguka na kudai msaniii huyo kwa sasa hajiwezi kwa manzi huyo yani mapenzi yao ni kama ya Dj Hunter na Snura yani wanamaanisha Mahaba Niuwe nipeteze kama Ndege ya Maleysia

Previous
Next Post »

Blogger templates