HEBU CHEKI JINSI MSANII RICH MAVOKO ALIVYOPOKELEWA NA MISAFARA KAMA RAISI NCHINI BURUNDI

HUYU WANAMWITA MAVOKO BANA...NAMKUBALI SANA JANJA
Rich mavoko, ni msanii wa bongo ambaye hua namkubali sana katika kazi zake ambazo anazifanya nimekuwa kama samaki .... Umeona unaambia kwa sasa yupo nchini burundi ameitwa kikazi zaidi,
na tayar ameshaingia studio kwa ajili ya kufanya ngoma yake na mburundi mmoja hvi but for know amegoma kuimbia blog ya makubwa haya kuwa ni msanii gani ambaye ameplan kufanya nae club, hebu mcheck hapo chini akiwa on process ya kuingiza voko kwenye nyimbo yake mpya
Previous
Next Post »

Blogger templates