USUPA STAA MZIGO WA MIBAA!!MASOGANGE AISHIWA PICHA ZA KUWEKA KWENYE MITANDAO!!!

Ameibuka tena kwa kutupia picha ambayo haina maadili ya kitanzania katika mtandao wa kijamii Istagram, picha hiyo ikimuonesha mwanadada huyo akiwa amevalia kiguo ambacho kimemuweka wazi sehemu kubwa ya mwili wake ikiwemo mapaja, kitovu, mgogo na kiuno.
Previous
Next Post »

Blogger templates