MJADALA::FANS WA WEBSITE HII NAOMBA MNISAIDIE ETI KWA NINI WASICHANA WA KITANGA WANAGOMBANIWA SANA NA MIJIDUME....!!??

Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Unasuki na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi Siku hiyo hiyo lazima ulale ...Najiuliza Hivi Mabinti wa Kitanga wana nini ? Huku Mtaani kwetu wanagombaniwa kama Njungu.....Tufahamisheni jamani Wanaojua...!!!
Previous
Next Post »

Blogger templates