ZIJUE SABABU ZINAZO PELEKWA WANAUME KUWA WAONGO

 yaani wanaume wa siku hizi waongo xana nlishakuaga na mpenzi aliyenidanganya eti nakupenda sana nataka nikuowe. Baada ya mda nkamdanganya nina mimba yake alinikana nakunitolea matuc ya kla aina nlipomwambia kuwa ni uongo akawa mpole bac na mimi nkapunguza mazoea nikachukua uamuz wa kuachana nae me nikaja zangu Dom kwa xaxa ameni2mia nauli eti anataka nirudi Dar. Je nfanyaje? Ananipenda kweli huyu mwanaume

Previous
Next Post »

Blogger templates