Alidai anakunywa moja tu kupunguza mawazo kwani aliyemwahidi kumchumbia kaingia mitini lakini kadri muda ulivyokuwa unayoyoma alikua anaongeza kilaji tu mpaka pale akawa ajitambua kilichofata baada ya hapo ........mpaka asubuhi
Sign up here with your email