Sign up here with your email
BREAKING NEWSSS : MENINAH ATAJWA KUWA NI MCHEPUKO WA DIAMOND PLATNUMZ SHUKA NAYO HAPA.....!!!
Msanii wa Bongo Flava Meninah la Divah ametajwa kuwa katika mahusiano ya kisirisiri na Diamond Platnumz inasemekana lakini eti taarifa hizo zimevuja kupitia kwa marafiki wa karibu na Meninah wamedai kuwa wawili hao walikutanishwa na moja kati ya ndugu wa Diamond na hivi karibuni katika kipindi cha Tv anacho host Meninah eti Diamond aliwahi kumkataza Meninah asishiriki kwa sababu atakutana na wanaume wengine lakini dada wa diamond Queen Darlin ambaye pia yupo katika kipindi hiko cha Tv akaahidi kumlinda wifi yake mwanzo mwisho ndio mzee akatoa ruhusa, sikiliza Interview kati Soudy Brown na Menina kama ilivyokua ndani You Heard ya XXL leo
CREDIT::MAKOROKOCHO