Akizungumza na safu hii, Komba alisema anafanya hivyo kutokana na mume anayemuoa kutotaka makuu, ambapo watu 300 wanatarajia kuhudhuria.
Kuhusu mipango ya harusi, alisema inaenda vizuri na tayari zaidi ya nusu ya aliowapa mwaliko wamethibitisha kuhudhuria.
Sherehe za harusi hiyo z itafanyikia ukumbi wa Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Sign up here with your email