KUTANA NA MTOTO WA MIAKA NANE ANAYEVUTA MAMIA KWA UWEZO WAKE WA KUKEMEA MAPEPO HUKO BRAZIL

Binti wa miaka nane aitwaye Alani Santos kutoka mji wa San Gonzalo nchini Brazil ameendelea kukusanya mamia ya watu kutoka sehemu mbalimbali nchini kwake ambao hufika kanisani anakoabudu ambako baba yake ni mchungaji ili waombewe na binti huyo anayeaminika kuwa na nguvu za ajabu za kukemea mapepo na kuponya magonjwa akitumia jina la Yesu.

Katika mji anaotokea binti huyo unaweza kufananisha na Mbeya kwa hapa Tanzania kutokana na kuwa na utitiri wa makanisa licha ya kwamba nchi hiyo kwa sasa inakabiriwa na tishio la watu kutopenda masuala ya kiimani. Brazil taifa ambalo linasifika kuwa la Kikristo wa kanisa la Katoliki, limekuwa na vipaji mbalimbali kupitia watoto akiwemo kijana
Jotta A ambaye uwezo wake wa kuimba ni wa ajabu kiasi cha hata kuwashangaza waimbaji wakubwa maarufu duniani
Previous
Next Post »

Blogger templates