LINA AKANUSHA JUU YA KUJIHUSISHA NA USAGAJI NA MASTAA WA BONGO

MWANADADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye hajawahi kushiriki.

Estelina Sanga ‘Linah’.
 Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi karibuni akasema:
“Usagaji upo tena kwa mastaa wengi lakini kwa upande wangu mimi sijawahi kufanya hicho kitu na wala sitegemei kujihusisha nayo.”
Previous
Next Post »

Blogger templates